Habari na Matangazo

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, akitoa maelekezo katika maenesho ya ICUD- Mwanza na kushoto Mrajis wa TCDC

MFUMO WA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA UENDANE NA MIFUMO YA VYAMA VYA USHIRIKA - WAZIRI BASHE

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, ameitaka Tume ya Maendeleo ya Ushirika kuhakikisha Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU) unaendana na mifumo ya Vyama vya Ushirika ili iwe rahisi kwa Tume kujua…

Soma Zaidi

WAZIRI BASHE AHAKIKISHA WAKULIMA WA ZAO LA PAMBA WANAPATA MBEGU TOSHELEVU

Waziri wa Kilimo Mhe. Husein Bashe amemtaka Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika Simiyu (SIMCU ) Lazaro Walwa kuhakikisha anajua uhitaji wa idadi ya mbegu zitakazowatosheleza katika kilimo msimu…

Soma Zaidi
Katikati Mheshimiwa Waziri wa Aridhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi Angelina Mabula akiwaaga washiriki wa kongamanpo la wanawake na Kushoto ni Kaimu Naibu Mrajis Uhamasishaji Bi consolata Kiluma

WANAWAKE WATAKIWA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA

Waziri wa Aridhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa Dkt. Angelina Mabula, amewataka wanawake walio katika Ushirika wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) kuacha kuwa wanyonge badala yake…

Soma Zaidi

SHINYANGA TUNAUHITAJI MAPEMA MFUMO MPYA WA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA - RC MJEMA

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema ameitaka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwenda  kufundisha Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU) katika mkoa wa Shinyanga. Ameyasema hayo…

Soma Zaidi

WASIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA KANDA YA KASKAZINI WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA USIMAMIZI WA VYAMA

Wasimamizi wa Vyama vya Ushirika Kanda ya Kaskazini wamepatiwa mafunzo ya mfumo mpya wa kieletroniki utakaosaidia kutunza nyaraka na kumbukumbu za kifedha na mali za Ushirika nchini na Tume ya Maendeleo ya…

Soma Zaidi

TCDC KUIMARISHA USIMAMIZI NA UENDESHAJI SACCOS NCHINI

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amefungua kikao kazi cha kujadili Usimamizi na Uendeshaji wa SACCOS kilichofanyika katika Ukumbi wa Ngome Holding…

Soma Zaidi
Washiriki wa Kikao kazi cha wadau wa zao la Chikichi kilichofanyika Mkoa wa Kigoma O7/10/2022 wakiwa katika picha ya pamoja

UANDAAJI WA UZALISHAJI, MASOKO NA USIMAMIZI WA  ZAO LA MCHIKICHI MKOANI KIGOMA

Tume ya maendeleo ya Ushirika Tanzania imeratibu na kufanya kikao kazi na wadau wa zao Mchikichi tarehe 07.10.2022, kilichofanyika ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Ushirika MoCU tawi la Mkoani Kigoma kwa lengo la…

Soma Zaidi

KAMATI YA KITAIFA YA KURATIBU HARAMBEE YA UJENZI WA ENEO LA MRADI WA KIWANDA CHA WANAWAKE YAZINDULIWA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania imeshiriki katika Uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya kuratibu harambee ya ujenzi wa eneo la Mradi wa Kiwanda cha Wanawake Tanzania kilichoratibiwa 'Madirisha Women…

Soma Zaidi