Habari na Matangazo

TCDC, MOCU, COASCO,TFC na SCCULT 1992 LTD wamesaini Mpango wa Mafunzo ya Wanachama, Viongozi na Watendaji wa Vyama Ushirika Tanzania Bara

MPANGO WA MAFUNZO YA WANACHAMA, VIONGOZI NA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA WASAINIWA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU), Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO), Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) na Chama…

Soma Zaidi

SACCOS ZATAKIWA KUJIUNGA NA SCCULT LTD

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirikia Tanzania, Dkt. Benson Ndiege,  ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) ambavyo havijajiunga na Chama…

Soma Zaidi
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, akitoa maelekezo katika maenesho ya ICUD- Mwanza na kushoto Mrajis wa TCDC

MFUMO WA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA UENDANE NA MIFUMO YA VYAMA VYA USHIRIKA - WAZIRI BASHE

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, ameitaka Tume ya Maendeleo ya Ushirika kuhakikisha Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU) unaendana na mifumo ya Vyama vya Ushirika ili iwe rahisi kwa Tume kujua…

Soma Zaidi

WAZIRI BASHE AHAKIKISHA WAKULIMA WA ZAO LA PAMBA WANAPATA MBEGU TOSHELEVU

Waziri wa Kilimo Mhe. Husein Bashe amemtaka Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika Simiyu (SIMCU ) Lazaro Walwa kuhakikisha anajua uhitaji wa idadi ya mbegu zitakazowatosheleza katika kilimo msimu…

Soma Zaidi
Katikati Mheshimiwa Waziri wa Aridhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi Angelina Mabula akiwaaga washiriki wa kongamanpo la wanawake na Kushoto ni Kaimu Naibu Mrajis Uhamasishaji Bi consolata Kiluma

WANAWAKE WATAKIWA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA

Waziri wa Aridhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa Dkt. Angelina Mabula, amewataka wanawake walio katika Ushirika wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) kuacha kuwa wanyonge badala yake…

Soma Zaidi

SHINYANGA TUNAUHITAJI MAPEMA MFUMO MPYA WA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA - RC MJEMA

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema ameitaka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwenda  kufundisha Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU) katika mkoa wa Shinyanga. Ameyasema hayo…

Soma Zaidi

WASIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA KANDA YA KASKAZINI WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA USIMAMIZI WA VYAMA

Wasimamizi wa Vyama vya Ushirika Kanda ya Kaskazini wamepatiwa mafunzo ya mfumo mpya wa kieletroniki utakaosaidia kutunza nyaraka na kumbukumbu za kifedha na mali za Ushirika nchini na Tume ya Maendeleo ya…

Soma Zaidi

TCDC KUIMARISHA USIMAMIZI NA UENDESHAJI SACCOS NCHINI

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amefungua kikao kazi cha kujadili Usimamizi na Uendeshaji wa SACCOS kilichofanyika katika Ukumbi wa Ngome Holding…

Soma Zaidi