Yanayojiri

Habari Zinazojiri

KILO YA UFUTA YAUZWA  SHILINGI 3,963/20 KIBITI, KUPITIA STAKABADHI ZA GHALA 

Wakulima wa Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani kwa pamoja wameridhia kuuza Ufuta wao kwa bei ya juu ya Shilingi 3,963/20 kupitia mnada ulioandaliwa na Chama Kikuu cha Ushirika mkoani… Soma Zaidi

Mrajis wa Vyama vya Ushirika Dkt Benson Ndiege akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Watoa Huduma wa Vyama vya Ushirika Mkoani Dodoma

WATOA HUDUMA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA WASIO WAAMINIFU  KUFUTIWA LESENI

Mrajis na Mtendaji Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt Benson Ndiege, ameagiza kufutiwa leseni Watoa Huduma ambao si waaminifu wanaofanya kazi na Vyama vya Ushirika. Dkt.… Soma Zaidi

MAAFISA USHIRIKA KANDA YA MASHARIKI WAPEWA MAFUNZO KUIMARISHA USHIRIKA

Maafisa Ushirika wametakiwa kutumia maarifa waliyopata kutokana na programu maalum ya mafunzo ya Usimamizi na Ukaguzi wa Vyama vya Ushirika iliyoendeshwa na Tume ya Maendeleo ya… Soma Zaidi

Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Kamishina wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Mhe.Zainab Telack (Kushoto) akikabidhi gari kwa Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Lindi Cecilia Philimini.

MRAJIS MSAIDIZI MKOA WA LINDI AKABIDHIWA GARI KATIKA JUKWAA LA USHIRIKA

Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Kamishina wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Mhe. Zainab Telack amekabidhi gari kwa Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Lindi. Gari Hilo limetolewa… Soma Zaidi

WAKULIMA  681 WA MAZAO YA BUSTANI WAHAMASISHWA KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA MKOANI KILIMANJARO

Timu ya uhamasishaji kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) imekamilisha uhamasishaji wa uanzishaji wa Vyama vya Ushirika wa mazao ya bustani (horticulture) ambapo zoezi hilo… Soma Zaidi