Habari na Matangazo

RC HOMERA AWATAKA WANANCHI KUTUMIA HUDUMA RASMI ZA KIFEDHA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera, ametoa wito kwa Wananchi kutumia Huduma rasmi za Kifedha zilizosajiliwa na zenye kutambuliwa ili kuepuka usumbufu unaotokana na huduma za Mikopo yenye kuumiza Wananchi…

Soma Zaidi

RAIS DKT. SAMIA AUNGA MKONO MAGEUZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunga mkono mageuzi yanayofanyika katika Vyama vya Ushirika nchini ili kulinda maslahi ya Wanaushirika na kurudisha hadhi ya…

Soma Zaidi

TUJENGE VYAMA VYA USHIRIKA VILIVYO IMARA - RAIS DKT. SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameitaka Wizara ya Kilimo  kuiangalia kwa jicho la kipekee Sekta ya  Ushirika ili kujenga Vyama vya Ushirika vilivyo imara ili…

Soma Zaidi

KILELE CHA SIKUKUU YA WAKULIMA (NANENANE) - 2024

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Hundi ya Malipo ya fidia kwa Wanaushirika wenye BIMA ya Mazao iliyotolewa na Benki ya NBC. Mrajis na Mtendaji Mkuu wa TCDC, Dkt. Benson Ndiege, alipokea Hundi…

Soma Zaidi

WAKULIMA MSIWE NA MASHAKA NA MITAJI, NENDENI BENKI MKAPATE MITAJI - WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wakulima wakiwemo Wanaushirika hapa nchini kutembelea Taasisi za kifedha kuweza kupata mitaji itakayoweza kuwasaidia katika…

Soma Zaidi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua vihenge, maghala ya kisasa na msimu wa ununuzi wa nafaka wa mwaka 2024/2025 katika Mkoa wa Katavi tarehe 14 Julai 2024.

UZINDUZI WA VIHENGE, MAGHALA YA KISASA NA MSIMU WA UNUNUZI WA NAFAKA - 2024/2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua vihenge, maghala ya kisasa na msimu wa ununuzi wa nafaka wa mwaka 2024/2025 katika Mkoa wa Katavi tarehe 14 Julai 2024. Mhe. Rais…

Soma Zaidi