Taarifa kwa Vyombo vya Habari

SACCOS TUMIENI MIFUMO YA KIDIGITALI - NAIBU WAZIRI SILINDE

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo(SACCOS) kuendelea kutumia mifumo ya Kidigitali mbalimbali iliyopo sokoni inayoendana na uwezo wa Kifedha wa…

Soma Zaidi

TANECU YAANZA SAFARI YA KUWA NA USHIRIKA IMARA KWA KUJENGA KIWANDA

Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU Ltd. kimeanza safari ya kuwa na Ushirika imara kwa kujenga kiwanda cha kubangua korosho Newala, mkoani Mtwara kilichogharimu shilingi bilioni 3.4. Kiwanda hicho…

Soma Zaidi

MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI (SUD) 2024 KUFANYIKA TABORA JUNI 29 - JULAI 06, 2024

Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) kwa mwaka 2024 yatafanyika kuanzia tarehe 29/06/2024 hadi tarehe 06/07/2024 kwenye viwanja vya Nanenane (Ipuli) Mkoani Tabora ambapo wananchi wote vikiwemo Vyama…

Soma Zaidi
MRAJIS ASISITIZA UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA MASHAMBA YA USHIRIKA

MRAJIS ASISITIZA UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA MASHAMBA YA USHIRIKA

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege amevitaka Vyama vya Ushirika  kushirikiana na Wawekezaji kwa maslahi ya Wanaushirika kwa kufuata Miongozo ya Uwekezaji. Dkt.…

Soma Zaidi