Habari na Matukio

RC HOMERA AWATAKA WANANCHI KUTUMIA HUDUMA RASMI ZA KIFEDHA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera, ametoa wito kwa Wananchi kutumia Huduma rasmi za Kifedha zilizosajiliwa na zenye kutambuliwa ili kuepuka usumbufu unaotokana na huduma za Mikopo yenye kuumiza Wananchi…

Soma Zaidi

RAIS DKT. SAMIA AUNGA MKONO MAGEUZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunga mkono mageuzi yanayofanyika katika Vyama vya Ushirika nchini ili kulinda maslahi ya Wanaushirika na kurudisha hadhi ya…

Soma Zaidi

KILELE CHA SIKUKUU YA WAKULIMA (NANENANE) - 2024

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Hundi ya Malipo ya fidia kwa Wanaushirika wenye BIMA ya Mazao iliyotolewa na Benki ya NBC. Mrajis na Mtendaji Mkuu wa TCDC, Dkt. Benson Ndiege, alipokea Hundi…

Soma Zaidi

SERIKALI KUUNGA MKONO MAGEUZI NA MATOKEO CHANYA SEKTA YA USHIRIKA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dotto Biteko amesema Serikali itaendelea kuunga mkono mageuzi chanya yanayofanyika kukuza sekta ya Ushirika. Ameyasema hayo wakati wa akifunga Maadhimisho ya…

Soma Zaidi

USHIRIKA UTUMIKE KUWAKOMBOA WANANCHI KIUCHUMI

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde (Mb) ameitaka Tume ya Maendeleo ya Ushirika pamoja na taasisi nyingine zinazohusika na Ushirika kusimamia vyema uendeshaji wa Vyama vya Ushirika ili viweze kutumika…

Soma Zaidi

WATOROSHAJI WA TUMBAKU WAONYWA

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, ameonya baadhi ya Wanaushirika wasio waadilifu kuacha tabia ya kutorosha zao la Tumbaku na…

Soma Zaidi

MRAJIS AVITAKA VYAMA VYA USHIRIKA KUJIENDESHA KIBIASHARA

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amevitaka vyama vya Ushirika kuongeza uzalishaji ili kufanya vyama viongeze tija kwa kuongeza wigo wa kibiashara na…

Soma Zaidi