Habari na Matangazo

WASIMAMIZI WA MAGHALA WATAKIWA KUFUATA SHERIA NA TARATIBU ZA UENDESHAJI WAKE

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Usamamizi wa Stakabadhi za Ghala, Asangye Bangu amewataka wasimamizi wa maghala kuhakikisha wanafuata sheria na utaratibu wa uendeshaji wa maghala hayo. Ametoa Kauli…

Soma Zaidi

WAKULIMA WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA VYAMA VYA USHIRIKA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika  Tanzania, imewahamasisha wakulima wa mbogamboga na matunda kujiunga na vyama vya Ushirika ili kuleta tija katika shughuli za uzalishaji na kujikwamua kiuchumi. Ushauri huo…

Soma Zaidi
Dkt Benson Ndiege akitoa ufafanuzi wa Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika kwa Wakurugenzi wa Bodi za Mazao na Taasisi za Utafiti wa Kilimo

VIONGOZI WA BODI ZA MAZAO NA TAASISI ZA UTAFITI WA KILIMO WAPITISHWA KATIKA MFUMO WA USIMAMIZI WA VYAMA

Wakurugenzi wakuu wa Bodi za Mazao na Taasisi za utafiti wa Kilimo wamepatiwa maelezo ya namna Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU) unavyofanya kazi katika Vyama vya Ushirika. Maelezo hayo…

Soma Zaidi
Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Pamba Bwana Marco Mtunga akizungumza katika kikao cha Wakurugenzi wa Bodi za Mazao na Taasisi za Utafiti wa Kilimo(wapili kutoka kulia)

BODI ZA MAZAO NA TAASISI ZA UTAFITI WA KILIMO ZASHAURIWA KUWA NA MFUMO WA KIDIGITALI

Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Pamba, Marco Mtunga, ameshauri Bodi za Mazao na Taasisi za utafiti wa Kilimo kuhakikisha wakulima wanakuwa na mfumo wa kidigitali ambao utamsaidia mkulima katika kuuza mazao yake na…

Soma Zaidi

MFUMO WA USIMAMIZI WA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA UTAENDA KUIMARISHA VYAMA

Mfumo wa usimamizi wa Vyama vya Ushirika ulioanzishwa na Serikali kupitia Tume Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) utaenda kuimarisha vyama vya ushirika. Mwakilishi wa Katibu Tawala ambaye pia ni Katibu…

Soma Zaidi

SACCOS WEKEZENI KWENYE KILIMO - NAIBU WAZIRI MAVUNDE

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde, amevitaka Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) nchini kuwekeza kwenye maeneo mbalimbali yenye fursa katika kilimo ili kuongeza mapato yao. Mhe. Mavunde…

Soma Zaidi

WATOA HUDUMA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA KUWA NA VIBALI

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, ametoa wito kwa makampuni ya watoa huduma kwenye Vyama vya Ushirika wenye uwezo wa kufanya kazi hiyo…

Soma Zaidi

TCDC NA ‘HANS NEUMANN STIFTUNG’ ZASAINI MAKUBALIANO

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) na Taasisi ya Hanns R. Neumann Stiftung (HRNS) zimesaini Randama ya makubaliano ya kuviimarisha Vyama vya Ushirika katika mikoa ya Mbeya, Songwe na…

Soma Zaidi