Habari na Matangazo

Washiriki wa Mafunzo ya MUVU katika picha ya pamoja Mkoani Mwanza

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA MFUMO WA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA  MKOA WA MWANZA

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Emil Kasagala, leo tarehe 26 Oktoba 2022, amefungua  Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU)  kwa upande wa Kanda ya Ziwa …

Soma Zaidi
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussen Bashe kwenye picha ya pamoja na Makamisheni wa Bodi ya Tumea ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC)na Watendaji

WAZIRI BASHE AZINDUA BODI MPYA YA KAMISHENI YA TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA

Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Hussen Bashe, leo tarehe 24/10/2022 amezindua Bodi mpya ya Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), uzinduzi ambao umefanyika katika Ukumbi wa Kilimo 4 Jijini…

Soma Zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa Adam Malima akifunga Maadhimisho  ya kimataifa ya Ushirika wa Akiba na Mikopo (ICUD) MWanza

SACCOS WEKEZENI KWENYE UCHUMI WA VIWANDA - RC MALIMA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa Adam Malima   ametoa wito kwa Wanaushirika wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo kuwekeza kwenye Uchumi wa Viwanda ili kukuza hali ya Viwanda Nchini. Ameeleza…

Soma Zaidi
TCDC, MOCU, COASCO,TFC na SCCULT 1992 LTD wamesaini Mpango wa Mafunzo ya Wanachama, Viongozi na Watendaji wa Vyama Ushirika Tanzania Bara

MPANGO WA MAFUNZO YA WANACHAMA, VIONGOZI NA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA WASAINIWA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU), Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO), Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) na Chama…

Soma Zaidi

SACCOS ZATAKIWA KUJIUNGA NA SCCULT LTD

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirikia Tanzania, Dkt. Benson Ndiege,  ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) ambavyo havijajiunga na Chama…

Soma Zaidi
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, akitoa maelekezo katika maenesho ya ICUD- Mwanza na kushoto Mrajis wa TCDC

MFUMO WA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA UENDANE NA MIFUMO YA VYAMA VYA USHIRIKA - WAZIRI BASHE

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, ameitaka Tume ya Maendeleo ya Ushirika kuhakikisha Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU) unaendana na mifumo ya Vyama vya Ushirika ili iwe rahisi kwa Tume kujua…

Soma Zaidi

WAZIRI BASHE AHAKIKISHA WAKULIMA WA ZAO LA PAMBA WANAPATA MBEGU TOSHELEVU

Waziri wa Kilimo Mhe. Husein Bashe amemtaka Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika Simiyu (SIMCU ) Lazaro Walwa kuhakikisha anajua uhitaji wa idadi ya mbegu zitakazowatosheleza katika kilimo msimu…

Soma Zaidi
Katikati Mheshimiwa Waziri wa Aridhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi Angelina Mabula akiwaaga washiriki wa kongamanpo la wanawake na Kushoto ni Kaimu Naibu Mrajis Uhamasishaji Bi consolata Kiluma

WANAWAKE WATAKIWA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA

Waziri wa Aridhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa Dkt. Angelina Mabula, amewataka wanawake walio katika Ushirika wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) kuacha kuwa wanyonge badala yake…

Soma Zaidi