Habari na Matangazo

Washiriki wa Kikao kazi cha wadau wa zao la Chikichi kilichofanyika Mkoa wa Kigoma O7/10/2022 wakiwa katika picha ya pamoja

UANDAAJI WA UZALISHAJI, MASOKO NA USIMAMIZI WA  ZAO LA MCHIKICHI MKOANI KIGOMA

Tume ya maendeleo ya Ushirika Tanzania imeratibu na kufanya kikao kazi na wadau wa zao Mchikichi tarehe 07.10.2022, kilichofanyika ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Ushirika MoCU tawi la Mkoani Kigoma kwa lengo la…

Soma Zaidi

KAMATI YA KITAIFA YA KURATIBU HARAMBEE YA UJENZI WA ENEO LA MRADI WA KIWANDA CHA WANAWAKE YAZINDULIWA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania imeshiriki katika Uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya kuratibu harambee ya ujenzi wa eneo la Mradi wa Kiwanda cha Wanawake Tanzania kilichoratibiwa 'Madirisha Women…

Soma Zaidi

ORODHA YA VYAMA VYA USHIRIKA VINAVYOFUTWA KWENYE REJISTA YA VYAMA VYA USHIRIKA TAREHE 26 JULAI, 2022.

ORODHA YA VYAMA VYA USHIRIKA VINAVYOFUTWA KWENYE REJISTA YA VYAMA VYA USHIRIKA TAREHE 26 JULAI, 2022.

Soma Zaidi

MRAJIS WA VYAMA VYA USHIRIKA, DKT. BENSON NDIEGE AELEZEA MAFANIKIO YA SEKTA YA USHIRIKA NA MWELEKEO WA BAJETI YA TCDC KWA MWAKA 2022/2023

Dhamira ya Serikali ni kutumia mfumo wa ushirika katika kuwewezesha wananchi kiuchumi na kuchangia ipasavyo katika ustawi wao na wa Taifa kwa ujumla.  Kazi kubwa ya Serikali ni kuhakikisha Ushirika…

Soma Zaidi

SPIKA WA BUNGE AZINDUA JENGO LA CHAMA CHA USHIRIKA LULU SACCOSS

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 5 Agosti, 2022 amezindua jengo la Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha LULU SACCOS, Jijini Mbeya.Akizungumza katika hafla…

Soma Zaidi

“USHIRIKA NINA UHAKIKA UKO SALAMA” - WAZIRI MKUU

"USHIRIKA NINA UHAKIKA UKO SALAMA" - WAZIRI MKUU   Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ameipongeza Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa jitihada zake za…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA KUSAJILIWA KIDIGITALI

VYAMA VYA USHIRIKA KUSAJILIWA KIDIGITALI Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC)  inatarajia kuanza kutumia Mfumo wa kielekroniki katika kusajili wanachama katika vyama vya ushirika ili kudhibiti…

Soma Zaidi