Habari na Matangazo

Mrajis wa Vyama vya Ushirika Dkt Benson Ndiege akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Watoa Huduma wa Vyama vya Ushirika Mkoani Dodoma

WATOA HUDUMA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA WASIO WAAMINIFU  KUFUTIWA LESENI

Mrajis na Mtendaji Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt Benson Ndiege, ameagiza kufutiwa leseni Watoa Huduma ambao si waaminifu wanaofanya kazi na Vyama vya Ushirika. Dkt. Ndiege amesema Watoa Huduma ambao…

Soma Zaidi

MAAFISA USHIRIKA KANDA YA MASHARIKI WAPEWA MAFUNZO KUIMARISHA USHIRIKA

Maafisa Ushirika wametakiwa kutumia maarifa waliyopata kutokana na programu maalum ya mafunzo ya Usimamizi na Ukaguzi wa Vyama vya Ushirika iliyoendeshwa na Tume ya Maendeleo ya Ushirika kwa Maafisa Ushirika…

Soma Zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Kamishina wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Mhe.Zainab Telack (Kushoto) akikabidhi gari kwa Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Lindi Cecilia Philimini.

MRAJIS MSAIDIZI MKOA WA LINDI AKABIDHIWA GARI KATIKA JUKWAA LA USHIRIKA

Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Kamishina wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Mhe. Zainab Telack amekabidhi gari kwa Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Lindi. Gari Hilo limetolewa na  Tume ya Maendeleo ya…

Soma Zaidi

WAKULIMA  681 WA MAZAO YA BUSTANI WAHAMASISHWA KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA MKOANI KILIMANJARO

Timu ya uhamasishaji kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) imekamilisha uhamasishaji wa uanzishaji wa Vyama vya Ushirika wa mazao ya bustani (horticulture) ambapo zoezi hilo lilifanyika kuanzia tarehe 24…

Soma Zaidi
Afisa Ushirika Ndimolo Laizer akiwahamasisha wakulima kujiunga na Vyama vya Ushirika

WAKULIMA 287 WILAYANI HAI WAHAMASISHWA KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA

Timu ya wataalam kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa kushirikiana na wataalam wa halmashauri ya wilaya ya Hai imeendelea kufanya uhamasishaji wa uanzishwaji wa AMCOS za Mazao ya Bustani…

Soma Zaidi

WATUMISHI WA TCDC WANG’ARA KWENYE TUZO ZA WAFANYAKAZI BORA MEI MOSI

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini ametoa tuzo kwa wafanyakazi Bora wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) katika Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani ambayo kwa Mkoa wa…

Soma Zaidi

ZOEZI LA UGAWAJI MALI NA MADENI KWA AMCOS ZA MIWA BONDE LA KILOMBERO LAKAMILIKA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) na Bodi ya Sukari Tanzania (TSB) zimesimamia zoezi la Ugawaji wa Mali na Madeni na usainishwaji Hati za makubaliano  kwa AMCOS za Miwa bonde la Kilombero…

Soma Zaidi
Mkuu wa Mkoa wa SIMIYU, Mhe.Dkt.Yahya Nawanda akikabidhi cheti kwa Kiongozi wa Chama cha Ushirika kilichofanya vizuri kwa Mwaka 2023.

MKOA WA SIMIYU WADHAMIRIA KUANZISHA VIWANDA NA KUIMARISHA VYAMA VYA USHIRIKA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Dkt. Yahya Nawanda, amesema Mkoa wa Simiyu umedhamiria kuanzisha viwanda kwa ajili ya kuongeza ajira na kukuza uchumi wa  mkoa na nchi kwa ujumla.Dkt. ameyasema hayo alipokuwa…

Soma Zaidi