Habari na Matangazo

MAADHIMISHO YA WIKI YA VYAMA VYA USHIRIKA WA AKIBA NA MKOPO YAFUNGULIWA

Mkuu wa Wilaya Kwimba ambaye anamwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mheshimiwa Ng’wilabuzu  Ludigija amefungua Maadhimisho ya wiki ya Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mkopo Kitaifa Mkoani Mwanza leo…

Soma Zaidi
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Mheshimiwa Amina Makilagi akizungumza wakati wa Kongamano la Jukwaa la Wanawake wa SACCOS Kitaifa lililofanyika Jijini Mwanza, kulia Mwenyekiti wa Kongamano hilo, Somoe  Nguhwe

SACCOS MKOMBOZI WA UCHUMI KWA WANAWAKE - DC NYAMAGANA

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Mheshimiwa Amina Makilagi, amesema Ushirika wa Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) ukitumiwa na kuongozwa vizuri ni mkombozi wa uchumi kwa wanawake nchini. Mhe. Makiagi amesema…

Soma Zaidi

WANACHAMA WA AMCOS KUNUFAIKA NA MKOPO WA MATREKTA MANYARA

Wanachama  sita wa Chama cha Msingi cha Ushirika, Mwamka AMCOS katika Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara wamekabidhiwa matrekta manne (4) na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) ikiwa ni mkopo wa…

Soma Zaidi

SACCOS LAZIMA KUJISAJILI ILI KUPATA LESENI - GAVANA

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Tutuba amevitaka Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) kupata leseni kabla ya tarehe 30 Aprili, 2024 ili SACCOS hizo kuleta tija kwa wanaushirika na taifa kwa…

Soma Zaidi

VIONGOZI WA VYAMA WATAKIWA KUTEKELEZA VIPAUMBELE VYA USHIRIKA

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson, amewataka Viongozi wa Vyama vya Ushirika Nchini kutekeleza maeneo 7 muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa Vyama ili…

Soma Zaidi

TUNAMUUNGANISHA MKULIMA NA MNUNUZI KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUMPATIA BEI NZURI - RAIS DKT. SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imeamua kumuunganisha mkulima na mnunuzi pamoja  kwenye Vyama vya Ushirika vya wakulima kwa lengo la kuwawezesha…

Soma Zaidi

USHIRIKA KUENDESHWA KIDIGITALI – MRAJIS 

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amesema Tume itaendelea kusimamia Vyama vya Ushirika kwa kutumia njia za kisasa za Kidigitali ambazo zinaongeza…

Soma Zaidi