Habari na Matangazo

WATUMISHI WA TCDC WAPIGWA MSASA MAAMBUKIZI YA VVU/UKIMWI NA MAGONJWA SUGU YASIYOAMBUKIZA

Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Collins Nyakunga, ametoa wito kwa Watumishi wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kuzingatia Kanuni za Afya kwa lengo la kujikinga na maambukizi ya VVU/UKIMWI…

Soma Zaidi

BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TCDC LIMEPITIA NA KUJADILI MPANGO WA BAJETI YA TUME KWA MWAKA 2023/2024

Baraza la Wafanyakazi la Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) limepitia na kujadili Mpango wa Bajeti ya Tume kww Mwaka 2023/2024. Bajeti hiyo inategemea kutumika katika ya Matumizi ya kawaida ya…

Soma Zaidi

TANZANIA YAWAHAKIKISHIA WAFANYABIASHARA WA SUDANI YA KUSINI UPATIKANAJI WA MAZAO YA KILIMO KUPITIA VYAMA VYA USHIRIKA

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, leo tarehe 22 Machi, 2023 ameshiriki Mkutano wa Fursa za Kibiashara na Masoko nchini Sudani ya Kusini ambapo…

Soma Zaidi

SIMCU FUFUENI VIWANDA VYENU - RC SIMIYU

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa Dkt Yahaya Nawanda , ametoa Rai kwa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Simiyu (SIMCU - 2018) Ltd kufufua Viwanda vyao na kuanza kufanya kazi ili kuimarisha Mnyororo wa thamani…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA VYA AKIBA NA MIKOPO VYATAKIWA KUJITANGAZA

Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika - Usimamizi na Udhibiti, Collins Nyakunga, amevitaka Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo  (SACCOS) kutumia Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii…

Soma Zaidi

VIONGOZI WA VVAMA VYA USHIRIKA WATAKIWA  KUONDOKANA NA HATI CHAFU

Kaimu Naibu Mrajis (Uratibu  na Uhamasishaji) wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania(TCDC), Consolata  Kiluma, amewataka Viongozi na Watendaji wa Vyama vya Ushirika mkoani Shinyanga kuondokana na…

Soma Zaidi

MPANGO WA KUBORESHA VYAMA VYA USHIRIKA WAJADILIWA

Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imeanza kutekeleza mpango wa kubadili namna ya kuendesha Vyama vya Ushirika na kuviwezesha kutumia Teknolojia za kisasa katika kufanya shughuli…

Soma Zaidi