MAKAMU WA RAIS AWATAKA WASIMAMIZI WA HUDUMA ZA FEDHA KUTAZAMA UPYA MASHARTI YAO
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, amezitaka Taasisi za Sekta za Huduma za Fedha kulegeza masharti ya mikopo ili kuweza kuwasaidia Wananchi kwa kupunguza riba za mikopo na hata wao kupunguza gharama za…
Soma Zaidi