kuelekea kilele cha  Maadhimisho ya wiki ya Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mkopo Kitaifa Mkoani Mwanza, baadhi ya viongozi wa Jukwaa la  Wanawake na Viongozi wa  SACCOS zilizoshiriki Maadhimisho hayo walitembelea kituo cha Makazi ya Wazee Bukumbi leo tarehe 25 Octoba 2023 na kutoa msaada ikiwa ni moja ya malengo ya Jukwaa hili katika kutekeleza msingi wa 7 wa Ushirika

Kilele cha Maadhimisho hayo kinatarajiwa kuwa tarehe 26 Octoba 2023 katika Viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza