Habari na Matangazo

HAKIKISHENI VIPAUMBELE VYA TUME VINATEKELEZWA - MRAJIS

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amewataka Watumishi wa TCDC na watendaji wa Vyama vya Ushirika kutekeleza vipaumbele vya saba(7) vya Tume kama…

Soma Zaidi
Mtendaji MKuu TCDC Dkt, Benson Ndiege akizindua jengo la Ofisi ya Chama Kikuu cha Lindi Mwambao(kulia) Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Christopher Ngubiagai na (kushoto)Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Lindi Mwambao Ismail Nalinga

JENGO LA OFISI YA CHAMA  KIKUU CHA USHIRIKA LINDI MWAMBAO LILILOGHALIMU SHILINGI  416,904,460 LAZINDULIWA

Mrajis na Mtendaji Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania,  Dkt. Benson Ndiege, amezindua  jengo la Ofisi ya Chama  Kikuu cha Ushirika Lindi Mwambao lililoghalimu shiling  416,904,460…

Soma Zaidi
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Dkt, Benson Ndiege (wakatikati) akizindua kiwanda cha RUNALI cha Kukamulia mafuta ya Ufuta. Karanga, Alzeti na Mbegu za Maboga

RUNALI  WAJENGA KIWANDA CHA KUKAMUA MAFUTA CHENYE THAMANI YA SHILINGI 143,816,000

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Dkt. Benson Ndiege, amekipongeza Chama Kikuu cha Ushirika cha Wilaya za Ruangwa, Nachingwea na Liwale RUNALI LTD kwa  kujenga Kiwanda cha…

Soma Zaidi

NAIBU WAZIRI AZINDUA MATUMIZI YA MIZANI ZA KIDIGITALI ZILIZOUNGANISHWA NA MFUMO ‘MUVU’

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo,  Mhe. David Silinde, amezindua matumizi ya Mizani za Kidigitali zilizounganishwa na Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU)  utakaoimarisha utendaji na…

Soma Zaidi

NAIBU WAZIRI SILINDE AWATAKA VIONGOZI WA USHIRIKA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU NA UAMINIFU

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, amewataka Viongozi wa Vyama vya Ushirika na Maafisa Ushirika kufanya kazi kwa werevu, Uadilifu na Uaminifu. Amesema Viongozi wa Vyama na Maafisa Ushirika wakifanya…

Soma Zaidi
Viongozi wa Vyama vya Ushirika wakiangalia Mbolea katika  Kiwanda cha Mbolea cha  INTRACOM FERTILIZER LIMITED walipotembelea kiwandani hapo Jijini Dodoma

TCDC KUSIMAMIA IPASAVYO MKATABA KATI YA VYAMA VYA USHIRIKA NA KIWANDA CHA MBOLEA CHA INTRACOM

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amemhakikishia Mkurugenzi wa kiwanda cha mbolea cha INTRACOM kuwa mikataba itakayoingiwa na Vyama Vya Ushirika na…

Soma Zaidi

MAKAMISHNA WA TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA WATEMBELEA VITEGA UCHUMI VYA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA NYANZA

Makamishna wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), wamefanya ziara ya kutembelea vitega uchumi vya Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza (NCU) ikiwemo Majengo na Hosteli zilizopo katikati ya Jiji la Mwanza…

Soma Zaidi