Habari na Matangazo

WAZIRI MKUU AMEWATAKA WAKULIMA KUHAKIKISHA WANAPELEKA KAKAO SAFI KATIKA MAGHALA

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amewataka wakulima kuhakikisha wanapeleka Kakao safi katika maghala na waache kuchanganya na takataka kwani inaharibu sifa ya zao hilo inaposafirishwa nje ya nchi. Ametoa…

Soma Zaidi

BODI YA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CORECU WATAKIWA KUZINGATIA MASLAHI YA WANAUSHIRIKA

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, ametoa rai kwa Bodi mpya ya  Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Pwani (CORECU - 1984 LTD) kufanya kazi kwa kusimamia misingi ya Ushirika na kwa maslahi ya…

Soma Zaidi
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. Mariam Ditopile akizungumza wakati wa kupokea Taarifa ya Maendeleo ya Uanzishwaji wa Benki ya Ushirika Tanzania.

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAVITAKA VYAMA VYA USHIRIKA KUWASAIDIA WANACHAMA WAO

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeviagiza Vyama vya Ushirika nchini kuwasaidia wanachama wao na sio kuwa mzigo kwa wanachama ikiwemo kukomesha ubadhilifu katika Vyama…

Soma Zaidi

WAZAZI  SEKONDARI NYAISHOZI WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO  

WAZAZI  SEKONDARI NYAISHOZI WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO   Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt Benson Ndiege ametoa  rai kwa wazazi wa…

Soma Zaidi

MRAJIS ATOA WITO KWA AMCOS KUKATA BIMA YA MAZAO

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, ametoa wito kwa AMCOS zote nchini kuingia katika mpango maalum wa kukata Bima ya mazao ili kuweza kulinda…

Soma Zaidi
Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika - Udhibiti, Collins Nyakunga, akizungumza katika kikao kazi baina ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika na Watoa Huduma wa TEHAMA katika Vyama Ushirika wa Akiba na Mikopo.

MIFUMO YA KIDIGITALI YA VYAMA VYA USHIRIKA IUNGANISHWE NA MUVU - NAIBU MRAJIS

Watoa Huduma katika Vyama Vya Ushirika wametakiwa kuhakikisha mifumo yao inaunganishwa na Mfumo wa Kidigitali wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika( MUVU). Wito huo umetolewa na Naibu Mrajis wa Vyama vya…

Soma Zaidi
MRAJIS ASISITIZA UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA MASHAMBA YA USHIRIKA

MRAJIS ASISITIZA UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA MASHAMBA YA USHIRIKA

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege amevitaka Vyama vya Ushirika  kushirikiana na Wawekezaji kwa maslahi ya Wanaushirika kwa kufuata Miongozo ya Uwekezaji. Dkt.…

Soma Zaidi
MIKATABA YA USHIRIKA IFANYIKE KWA UWAZI - MRAJIS

MIKATABA YA USHIRIKA IFANYIKE KWA UWAZI - MRAJIS

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amevitaka Vyama vya Ushirika kufanya Mikataba kwa uwazi kwa kuhusisha wadau husika na Mikataba hiyo ili kuepusha…

Soma Zaidi