Habari na Matangazo

TCDC NA NMB ZAINGIA MAKUBALIANO UJENZI WA MAGHALA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA

TUME YA USHIRIKA NA BENKI YA NMB ZAINGIA MAKUBALIANO UJENZI WA MAGHALA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imeingia Randama ya Makubaliano na Benki ya NMB kushirikiana…

Soma Zaidi

TANGAZO LA NAFASI ZA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inawatangazia Watumishi wa Umma kuwepo kwa nafasi wazi 19 za kuhamia katika kada mbalimbali. Nafasi hizi zinategemewa kujazwa katika Ofisi za Tume Makao Makuu -…

Soma Zaidi

TUNAENDA KUWA NA USHIRIKA WA KUZALISHA UTAJIRI -  NAIBU WAZIRI WA KILIMO

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Antony Mavunde, amesema kutokana na Tafiti zinazofanyika kwenye Sekta ya Ushirika, sasa Ushirika unaenda kuwa wa kuzalisha utajiri na sio migogoro na matatizo. Naibu Waziri Mavunde…

Soma Zaidi

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA SERIKALI KUANDAA MFUMO WA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imeipongeza Serikali kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika kwa kuaandaa Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika.  Waheshimiwa wabunge wa Kamati hiyo…

Soma Zaidi

WAFANYAKAZI WA TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA TCDC KATIKA MAADHIMISHO YA MEI MOSI 2022

Wafanyakazi wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) Leo Mei 01, 2022 wameshiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya MEI MOSI Kitaifa Jijini Dodoma, ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan,…

Soma Zaidi

BENKI YA USHIRIKA ITAWAWEZESHA WANAUSHIRIKA KUMILIKI UCHUMI WAO

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amesema kuwa kuanzishwa kwa Benki ya Taifa ya Ushirika kutawawezesha Wanaushirika  na…

Soma Zaidi

MKOA WA SIMIYU KUFUFUA VIWANDA VYA USHIRIKA VYA PAMBA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. David  Kafulila, amesema Serikali ya Awamu ya sita chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan, imetenga kiasi cha Shilingi Billion sita (6) kwa ajili ya kufufua…

Soma Zaidi

WATAKIWA KUTOA HUDUMA KWA UWAZI PASIPO KUSHAWISHIWA NA RUSHWA

Watoa Huduma katika Vyama vya Ushirika wametakiwa kutoa huduma kwa uwazi na ufasaha mkubwa pasipo kushawishiwa na vitendo vya rushwa na kwa kuzingatia Sera, Sheria na Kanuni za Vyama vya Ushirika. Wito huo…

Soma Zaidi