Habari na Matukio

Elimu ya Ushirika Iwafikie Wanachama Wote- Naibu Mrajis

 Elimu ya Ushirika Iwafikie Wanachama Wote- Naibu Mrajis Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika Nchini, Collins Nyakunga ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika kuhakikisha kuwa vinatoa elimu ya Ushirika kwa…

Soma Zaidi

Serikali imedhamiria kuimarisha benki ya Ushirika nchini

Serikali imedhamiria kuimarisha benki ya Ushirika nchini   Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuimarisha Benki ya Ushirika Kilimanjaro (Kilimanjaro Cooperative Bank Ltd – KCBL) kwa lengo la…

Soma Zaidi

Tangazo la nafasi za mafunzo kwa vitendo mahali pa kazi (internship) kwa mwaka 2020/2021 katika sekta ya ushirika

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu (OWM-KVAU) inatekeleza Programu ya Work Readiness Employability Skills…

Soma Zaidi

Salamu za Pongezi

Tume ya Maendelo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inapenda kumpongeza Rais, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais. Mhe.Samia Suluhu Hassan.

Soma Zaidi

Wanawake wahamasishwa nafasi za uongozi wa Ushirika

Wanawake wahamasishwa nafasi za uongozi wa Ushirika Wanawake wamepewa wito wa kushiriki katika nafasi za uongozi katika Vyama vya Ushirika hususani Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) nchini pindi nafasi…

Soma Zaidi

Viwanda vya Ushirika Kahama na Chato vyazinduliwa

Naibu Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Husein Bashe amefungua viwanda vya kuchakata Pamba (ginnery) vya Chama Kikuu cha Ushirika katika wilaya ya Chato (CCU) cha mkoani Geita na Chama Kikuu cha Ushirika katika…

Soma Zaidi

Mkuu wa Wilaya ya Newala, Mh.Aziza Mangosongo ametoa wito kwa Viongozi na Watendaji wa Ushirika

DC ASHAURI MIKAKATI YA KUIMARISHA NA KUENDELEZA USHIRIKA Mkuu wa Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara Mhe. Aziza Mangosongo ametoa wito kwa Viongozi na Watendaji wa Ushirika kushirikiana katika kuhakikisha kuwa…

Soma Zaidi

Serikali kuimarisha na kuendeleza Ushirika

Serikali ina mkakati wa kuendeleza na kuimarisha Ushirika kwa kuanzisha na kufufua viwanda ili kuongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa Wanaushirika, ambapo Serikali imedhamiria kuona kwamba Vyama vya…

Soma Zaidi