VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MAMCU NA TANECU VYATOA MILIONI 100 KUCHANGIA ELIMU, MTWARA
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti, amepokea Shilingi Milioni 100 kutoka Vyama Vikuu vya Ushirika vya MAMCU na TANECU kwa ajili ya kuboresha Elimu mkoani Mtwara. Akipokea fedha hizo…
Soma Zaidi