Habari na Matukio

Sera ya Ushirika Msingi wa Mabadiliko Chanya ya Sekta ya Ushirika

Mkurugenzi wa Mipango Ufuatiliaji na Tathmini wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) Bw. Buji Bampebuye amesema wadau wote wa Ushirika wakitekeleza majukumu yao ya Kiushirika kupitia dira na mwelekeo wa Sera…

Soma Zaidi

Hakikisheni Kila Mkulima Anakuwa Na Akaunti Benki

Naibu Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Hussein Bashe amewataka viongozi wa Vyama Vikuu vya Ushirika na Miradi ya Pamoja kuhakikisha kuwa wakulima watakaouza mazao yao kupitia Vyama vya Ushirika wanakuwa na Akaunti…

Soma Zaidi

Orodha Ya Vyama Vya Ushirika Vinavyokusudiwa Kufutwa Kwenye Rejista Ya Vyama Vya Ushirika

Mrajis wa Vyama vya Ushirika katika kufanya maboresho ya Daftari la Vyama vya Ushirika amefanya uchambuzi na kuainisha vyama ambavyo havitekelezi majukumu yake ya msingi kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya…

Soma Zaidi

Waziri Hasunga Aagiza Mabadiliko Muhimu Katika Kuimarisha Usimamizi Wa Vyama Vya Ushirika

Waziri wa Kilimo, Mhe. Japhet Hasunga, amemwagiza Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege kufanya tathmini ya utendaji kazi wa…

Soma Zaidi

Serikali Yakusudia Kufuta Vyama Vvya Ushirika 3,436

Serikali kwa kuzingatia matakwa ya Sheria ya Vyama vya Ushirika, Namba 6 ya mwaka 2013, kifungu cha 100 na kanuni ya 26, inakusudia kufuta Vyama vya Ushirika 3,436 ambavyo havitekelezi majukumu yake ya msingi…

Soma Zaidi