WATOA HUDUMA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA WASIO WAAMINIFU KUFUTIWA LESENI
Mrajis na Mtendaji Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt Benson Ndiege, ameagiza kufutiwa leseni Watoa Huduma ambao si waaminifu wanaofanya kazi na Vyama vya Ushirika. Dkt. Ndiege amesema Watoa Huduma ambao…
Soma Zaidi