SERIKALI KUONGEZA NGUVU YA USHIRIKA KUJIENDESHA KIBIASHARA

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amesema Serikali itaendelea kuimarisha Ushirika kwa kuongeza tija katika Kilimo kitakachochangia katika kuinua uzalishaji wa mazao na kuongeza nguvu ya Ushirika …

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO VYAASWA KUTOA ELIMU

Mkurugenzi wa Sekta ya Fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania, Saadat Musa ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika kutoa elimu ya Fedha kwa Wanachama na Umma kwa ujumla kwa lengo la kuimarisha na kuendeleza Sekta ya…

Soma Zaidi

STAKABADHI ZA GHALA KUPAISHA USHINDANI WA SOKO KWA MAZAO YA WAKULIMA

Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe, ametoa wito kwa kila Mdau anayehusika katika matumizi na usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kutimiza wajibu wake katika nafasi yake ili…

Soma Zaidi

SERIKALI KUIMARISHA SEKTA YA USHIRIKA

Serikali imesema imedhamiria kuimarisha na kuendeleza azma yake ya kuimarisha, kusimamia na kuendeleza Sekta ya Ushirika nchini kwa lengo la kuondoa umaskini na kujenga uchumi imara wa Wananchi. Naibu Waziri…

Soma Zaidi

WAZIRI SIMBACHAWENE AZINDUA MIKATABA YA HUDUMA KWA MTEJA YA TAASISI ZA UMMA, UKIWEMO WA TCDC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,  leo Juni 23, 2023 amezindua Mikataba ya Huduma kwa Mteja ya Taasisi za Umma, ukiwemo wa Tume ya…

Soma Zaidi
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Mussa Misaile akikabidhi cheti cha Usajili cha Chama kipya cha Ushirika wa Mbogamboga, matunda na mazao mchanganyiko Mang’ola Amcos kwa Mwenyekiti wa Chama Athuman Salum baada ya mafunzo ya Ushirika, Jijini Arusha

CHAMA CHA USHIRIKA NI CHA WANAUSHIRIKA

Wanachama wa Chama cha Ushirika wametajwa kuwa ndio wamiliki wa kwanza wa Chama cha Ushirika. Hivyo, wana wajibu wa kulinda na kusimamia Chama cha Ushirika kuendeshwa kwa tija kwa maslahi ya Wanachama wote wa…

Soma Zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Lindi  Mhe Zainab Telack akizungumza wa uzinduzi wa Mizani 85 za Kidigitali uliofanyika katika Chama cha Msingi cha Ushirika Tapwa kilichopo Wilaya ya Kilwa katika Chama Kikuu cha Lindi Mwambao.

MIZANI ZA KIDIGITALI KUSAIDIA WAKULIMA KUPIMA UFUTA NA KUONDOA UDANGANYIFU

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Zainab Telack amesema, Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imemkomboa Mkulima wa Kilwa kwa kusimamia upatikanaji wa Mizani za Kidigitali  zinazowasaidia kupima…

Soma Zaidi

KILO YA UFUTA YAUZWA  SHILINGI 3,963/20 KIBITI, KUPITIA STAKABADHI ZA GHALA 

Wakulima wa Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani kwa pamoja wameridhia kuuza Ufuta wao kwa bei ya juu ya Shilingi 3,963/20 kupitia mnada ulioandaliwa na Chama Kikuu cha Ushirika mkoani humo CORECU . Mnada huo…

Soma Zaidi