MWALIKO WA MNADA WA HADHARA WA UUZAJI WA VIFAA CHAKAVU
Soma Zaidi
Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro, Jacqueline Senzighe, amewataka Viongozi wa bodi za Vyama vya Ushirika wa Mbogamboga kutambua wajibu wao katika Vyama na kutowaachia watendaji…
Soma ZaidiMheshimiwa Peter Lijualikali, Mkuu wa Wilaya ya Nkasi amevipongeza vyama vya ushirika Mkoani Rukwa kwa kuchangia ukuaji wa Sekta ya Ushirika, ambapo amefurahishwa na utekelezaji wa kipaumbele cha…
Soma ZaidiKatibu Tawala Mkoa wa Lindi Zuwena Omari ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika Mkoani Lindi kuanzisha Viwanda vya kuchakata mazao ya wakulima ili kuongeza thamani pamoja na kuyatafutia masoko mazao…
Soma ZaidiMaadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) kwa mwaka 2024 yatafanyika kuanzia tarehe 29/06/2024 hadi tarehe 06/07/2024 kwenye viwanja vya Nanenane (Ipuli) Mkoani Tabora ambapo wananchi wote vikiwemo Vyama…
Soma ZaidiMkuu wa Wilaya ya Mbozi Mhe. Ester Mahawe amevitaka vyama vya wa Ushirika wa Mazao ya Mbogamboga na matunda kuongeza uzalishaji wa mazao hayo ili kuondokana na umasikini. Ametoa kauli hiyo leo Juni 5, 2024…
Soma ZaidiMrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Songwe, Benjamin Mangwala, amewataka viongozi wa Vyama vya Ushirika wa Mazao ya Mbogamboga na Matunda kuwa chachu ya kuvutia Wananchi wengi zaidi kujiunga na Vyama…
Soma Zaidi