Taarifa kwa Vyombo vya Habari

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO MIFUGO NA MAJI YATEMBELEA SHAMBA LA USHIRIKA WA ZABIBU

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe apokea kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo Mifugo na Maji inayoongozwa na Mhe. Christina Ishengoma mbunge waliootembelea katika Shamba la Zabibu lililopo Wilayani Chamwino…

Soma Zaidi

SACCOS ZATAKIWA KUANDAA NA KUWASILISHA TAARIFA ZA UTENDAJI

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege,  amevitaka Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS), kuandaa na kuwasilisha…

Soma Zaidi

KIKAO KAZI CHA MAFUNZO KWA WATEKELEZAJI WA SHERIA YA USHIRIKA

Kikao kazi cha Mafunzo kwa watekelezaji wa Sheria ya Ushirika  kutoka Ofisi za Wakuu wa Mikoa yote nchini kimefunguliwa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika…

Soma Zaidi

TCDC YATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM WA KIJIJI CHA MATUMAINI,  DODOMA

KATIKA kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani, Tume  ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania  (TCDC) imetoa msaada wa chakula, mafuta, Pempers na sukari  kwa watoto wanaoishi na maambukizi ya Virusi vya…

Soma Zaidi

VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MAMCU NA TANECU VYATOA MILIONI 100 KUCHANGIA ELIMU, MTWARA

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti, amepokea Shilingi Milioni 100 kutoka Vyama Vikuu vya Ushirika vya MAMCU na TANECU kwa ajili ya kuboresha Elimu mkoani Mtwara. Akipokea fedha hizo…

Soma Zaidi

BENKI YA USHIRIKA KILIMANJARO YAADHIMISHA MWAKA MMOJA KWA MAFANIKIO

Benki ya Ushirika  Kilimanjaro (KCBL)  Alhamis, Februari 03, 2022 imeadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa  kwake, ambapo Benki hiyo imefanikiwa pamoja na mambo mengine kutoa mikopo kwa…

Soma Zaidi