NITAULINDA USHIRIKA KWA KUWA NDIYO MFUMO WA KUMKOMBOA MNYONGE - WAZIRI BASHE
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amesema ataulinda na kuutetea Mfumo wa Ushirika popote kwa kuwa ndiyo mkombozi kwa watu wanyonge. Mhe. Bashe amesema hayo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya…
Soma Zaidi