Taarifa kwa Vyombo vya Habari

ORODHA YA VYAMA VYA USHIRIKA VINAVYOFUTWA KWENYE REJISTA YA VYAMA VYA USHIRIKA TAREHE 26 JULAI, 2022.

ORODHA YA VYAMA VYA USHIRIKA VINAVYOFUTWA KWENYE REJISTA YA VYAMA VYA USHIRIKA TAREHE 26 JULAI, 2022.

Soma Zaidi

MRAJIS WA VYAMA VYA USHIRIKA, DKT. BENSON NDIEGE AELEZEA MAFANIKIO YA SEKTA YA USHIRIKA NA MWELEKEO WA BAJETI YA TCDC KWA MWAKA 2022/2023

Dhamira ya Serikali ni kutumia mfumo wa ushirika katika kuwewezesha wananchi kiuchumi na kuchangia ipasavyo katika ustawi wao na wa Taifa kwa ujumla.  Kazi kubwa ya Serikali ni kuhakikisha Ushirika…

Soma Zaidi

“USHIRIKA NINA UHAKIKA UKO SALAMA” - WAZIRI MKUU

"USHIRIKA NINA UHAKIKA UKO SALAMA" - WAZIRI MKUU   Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ameipongeza Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa jitihada zake za…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA KUSAJILIWA KIDIGITALI

VYAMA VYA USHIRIKA KUSAJILIWA KIDIGITALI Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC)  inatarajia kuanza kutumia Mfumo wa kielekroniki katika kusajili wanachama katika vyama vya ushirika ili kudhibiti…

Soma Zaidi

TUNDURU WAKUSANYA UFUTA TANI 2300 KUPITIA STAKABADHI GHALANI

Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imefanikiwa kukusanya ufuta zaidi ya tani 2300 kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani. Hayo yamesemwa na Meneja wa Ghala la Chama Kikuu cha Ushirika Tunduru (TAMCU) Sarah Chirwo…

Soma Zaidi

TCDC KATIKA MAONESHO YA 46 YA KIMATAIFA YA BIASHARA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inashiriki Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yaliyoanza rasmi tarehe 28 Juni, 2022 hadi 13 Julai, 2022. Kupitia Maonesho hayo yanayoendelea ndani ya viwanja…

Soma Zaidi