Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Serikali Kuimarisha Kilimo cha Zabibu- Waziri Mkuu

Serikali Kuimarisha Kilimo cha Zabibu- Waziri Mkuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imedhamiria kuliongeza zao la zabibu kuwa miongoni mwa mazao ya kimkakati ili kungeza thamani zao hilo…

Soma Zaidi
MHE.WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA MAJALIWA AKITOA HOTUBA KATIKA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI (SUD) ILIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI TABORA.

Serikali Imedhamiria Kuimarisha Ushirika

Serikali Imedhamiria Kuimarisha Ushirika. Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amesema Serikali ina dhamira ya dhati kuhakikisha kuwa Vyama vya Ushirika vinaimarika na wakulima wanapata tija na…

Soma Zaidi

Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, amewataka Wanaushirika kurejesha hadhi na heshima ya Ushirika nchini.

SERIKALI YADHAMIRIA KUEREJESHA HESHIMA NA HADHI YA USHIRIKA NCHINI. Dodoma, 06/01/2021 Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, amewataka Wanaushirika kurejesha hadhi na heshima ya Ushirika nchini kwa kujenga…

Soma Zaidi
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Kusaya akimkabidhi Kompyuta Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Kusaya akimkabidhi Kompyuta Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege.

COOPERATIVE DEVELOPMENT COMMISSION HAS BEEN DELIVERED TO 50 KUMMUTA BY CRDB BANK   The Tanzania Cooperative Development Commission (TCDC) has been handed over 50 computers by CRDB Bank for accelerating…

Soma Zaidi

Serikali imedhamiria kuimarisha benki ya Ushirika nchini

Serikali imedhamiria kuimarisha benki ya Ushirika nchini   Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuimarisha Benki ya Ushirika Kilimanjaro (Kilimanjaro Cooperative Bank Ltd – KCBL) kwa lengo la…

Soma Zaidi