Taarifa kwa Vyombo vya Habari

BENKI YA USHIRIKA ITAWAWEZESHA WANAUSHIRIKA KUMILIKI UCHUMI WAO

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amesema kuwa kuanzishwa kwa Benki ya Taifa ya Ushirika kutawawezesha Wanaushirika  na…

Soma Zaidi

MKOA WA SIMIYU KUFUFUA VIWANDA VYA USHIRIKA VYA PAMBA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. David  Kafulila, amesema Serikali ya Awamu ya sita chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan, imetenga kiasi cha Shilingi Billion sita (6) kwa ajili ya kufufua…

Soma Zaidi

WATAKIWA KUTOA HUDUMA KWA UWAZI PASIPO KUSHAWISHIWA NA RUSHWA

Watoa Huduma katika Vyama vya Ushirika wametakiwa kutoa huduma kwa uwazi na ufasaha mkubwa pasipo kushawishiwa na vitendo vya rushwa na kwa kuzingatia Sera, Sheria na Kanuni za Vyama vya Ushirika. Wito huo…

Soma Zaidi

WAKULIMA WA KAHAWA KAGERA KUNUFAIKA, TOZO 42 ZAONDOLEWA

Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo Wakulima wa Kahawa wa Mkoa wa Kagera walikuwa wanatozwa na kubaki tozo 5 ambazo zitakuwa na jumla ya…

Soma Zaidi

SITAKI KUSIKIA MIGOGORO KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA – MRAJIS

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Dkt. Benson Ndiege, amewataka Warajis Wasaidizi wa Vyama vya Ushirika wa Mikoa kuhakikisha kuwa katika maeneo yao…

Soma Zaidi

UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAFUNZO KWA VYAMA VYA USHIRIKA KUIMARISHWA

Taasisi zinazohusika na maendeleo na usimamizi wa Sekta ya Ushirika nchini zimekubaliana kuimarisha Utekelezaji wa Mpango wa Mafunzo kwa Vyama Vya Ushirika wenye lengo la kuwajengea uwezo wanachama, viongozi…

Soma Zaidi

TCDC NA TANTRADE ZASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wamesaini Mkataba wa Makubaliano kwa lengo la kuunganisha nguvu ya pamoja ili kutatua changamoto ya…

Soma Zaidi