Habari na Matukio

MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI (SUD) YAFUNGULIWA JIJINI DODOMA:

TCDC Yasaini Makubaliano ya Kidijitali na Mix By Yas ​Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) yamefunguliwa rasmi leo Julai 5, 2026, jijini Dodoma. Sherehe hizi huwakutanisha wanaushirika kutoka…

Soma Zaidi
Mhe. David Silinde(Mb), Naibu Waziri wa Kilimo, akizungumza na Mjasiriamali katika Banda la maonesho kwenye maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani, Jijini Dodoma

WANAUSHIRIKA WAASWA KUWA WALINZI WAKUU WA AMANI NCHINI

Serikali imewataka wanaushirika nchini kuwa walinzi wakuu wa amani ya Tanzania, kuchagua viongozi waadilifu na kushiriki kikamilifu katika shughuli za vyama vya ushirika ili kuhakikisha sekta hiyo inaendelea…

Soma Zaidi

NAIBU WAZIRI SILINDE AWATAKA WANAUSHIRIKA KULINDA USHIRIKA

Naibu Waziri wa Kilimo David Silinde amehitimisha kilele cha Jukwaa la Maendeleo ya Ushirika Mkoa wa Dodoma kilichoenda sambamba na kauli mbiu isemayo "Linda ushirika, chagua uadilifu ". Akizungumza katika…

Soma Zaidi

RC - BABU AWATAKA WANANCHI KILIMANJARO KUJIUNGA NA VYAMA VYA USHIRIKA

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu amewataka wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kujiunga kwa wingi kwenye vyama vya Ushirika. Hayo ameyasema leo Mei 14, 2026 katika ufunguzi wa Jukwaa la tano la Wadau…

Soma Zaidi

MLINZI WA KWANZA WA MALI ZA USHIRIKA NI MWANAUSHIRIKA MWENYEWE - MRAJIS

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amewataka wanaushirika kote nchini kuwa walinzi wa kwanza wa mali za vyama vyao kwa…

Soma Zaidi

RC- KUNENGE APONGEZA MAFANIKIO YA USHIRIKA

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, amepongeza mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya ushirika mkoani humo, akibainisha kuwa ushirikiano madhubuti kati ya serikali, taasisi na vyama vya…

Soma Zaidi