Yanayojiri

Habari Zinazojiri

Kaimu Mwenyekiti Baraza la Wafanyakazi la Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Gabriel Mwita, akizungumza katika kikao cha  kupitia na kujadili Mpango wa Bajeti ya Tume kww Mwaka 2023/2024.

BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TCDC LIMEPITIA NA KUJADILI MPANGO WA BAJETI YA TUME KWA MWAKA 2023/2024

Baraza la Wafanyakazi la Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) limepitia na kujadili Mpango wa Bajeti ya Tume kww Mwaka 2023/2024. Bajeti hiyo inategemea kutumika katika… Soma Zaidi

Mrajis wa Vyama vya Ushirika Dkt Benson Ndiege akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Taasisi za Kiserikali na Sekta Binafsi kwenye Mkutano wa  Fursa za Kibiashara na Masoko Nchini Sudani Kusini

TANZANIA YAWAHAKIKISHIA WAFANYABIASHARA WA SUDANI YA KUSINI UPATIKANAJI WA MAZAO YA KILIMO KUPITIA VYAMA VYA USHIRIKA

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, leo tarehe 22 Machi, 2023 ameshiriki Mkutano wa Fursa za Kibiashara na Masoko nchini… Soma Zaidi

SIMCU FUFUENI VIWANDA VYENU - RC SIMIYU

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa Dkt Yahaya Nawanda , ametoa Rai kwa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Simiyu (SIMCU - 2018) Ltd kufufua Viwanda vyao na kuanza kufanya kazi ili… Soma Zaidi

Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika - Usimamizi na Udhibiti, Collins Nyakunga, akiwa katika picha ya pamoja na Mameneja wa SACCOS mbalimbali Nchini

VYAMA VYA USHIRIKA VYA AKIBA NA MIKOPO VYATAKIWA KUJITANGAZA

Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika - Usimamizi na Udhibiti, Collins Nyakunga, amevitaka Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo  (SACCOS) kutumia Vyombo vya Habari na Mitandao… Soma Zaidi