Habari na Matukio

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua Maonesho ya Nanenane Kitaifa 2025, katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma

VIONGOZI SIMAMIENI MAENDELEO YA USHIRIKA - DKT. MPANGO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa Viongozi mbalimbali kuhakikisha wanasimamia vema Maendeleo ya Ushirika hapa nchini na kuongeza ushirikiano baina ya…

Soma Zaidi

NAIBU WAZIRI MKUU AVIPONGEZA VYAMA VYA USHIRIKA

Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko, amevipongeza Vyama vya Ushirika nchini kutokana na mageuzi makubwa yanayoendelea kufanyika katika sekta hiyo. Ametoa pongezi hizo wakati akiongea katika  Maadhimisho…

Soma Zaidi

USHIRIKA SASA UNAKWENDA VIZURI – RAIS DKT. SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema hivi sasa Sekta ya Ushirika inakwenda vizuri kwq kuongeza tija ya Maendeleo katika ustawi wa Wananchi wengi nchini. Rais…

Soma Zaidi