Taarifa kwa Vyombo vya Habari

MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI (SUD) YAFUNGULIWA JIJINI DODOMA:

TCDC Yasaini Makubaliano ya Kidijitali na Mix By Yas ​Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) yamefunguliwa rasmi leo Julai 5, 2026, jijini Dodoma. Sherehe hizi huwakutanisha wanaushirika kutoka…

Soma Zaidi
Mhe. David Silinde(Mb), Naibu Waziri wa Kilimo, akizungumza na Mjasiriamali katika Banda la maonesho kwenye maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani, Jijini Dodoma

WANAUSHIRIKA WAASWA KUWA WALINZI WAKUU WA AMANI NCHINI

Serikali imewataka wanaushirika nchini kuwa walinzi wakuu wa amani ya Tanzania, kuchagua viongozi waadilifu na kushiriki kikamilifu katika shughuli za vyama vya ushirika ili kuhakikisha sekta hiyo inaendelea…

Soma Zaidi