JARIDA LA USHIRIKA TOLEO NO. 009 JANUARY-MACHI 2022
Soma Zaidi
TUME YA USHIRIKA NA BENKI YA NMB ZAINGIA MAKUBALIANO UJENZI WA MAGHALA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imeingia Randama ya Makubaliano na Benki ya NMB kushirikiana…
Soma ZaidiTume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inawatangazia Watumishi wa Umma kuwepo kwa nafasi wazi 19 za kuhamia katika kada mbalimbali. Nafasi hizi zinategemewa kujazwa katika Ofisi za Tume Makao Makuu -…
Soma ZaidiNaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Antony Mavunde, amesema kutokana na Tafiti zinazofanyika kwenye Sekta ya Ushirika, sasa Ushirika unaenda kuwa wa kuzalisha utajiri na sio migogoro na matatizo. Naibu Waziri Mavunde…
Soma ZaidiKamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imeipongeza Serikali kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika kwa kuaandaa Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika. Waheshimiwa wabunge wa Kamati hiyo…
Soma ZaidiWafanyakazi wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) Leo Mei 01, 2022 wameshiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya MEI MOSI Kitaifa Jijini Dodoma, ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan,…
Soma ZaidiMrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amesema kuwa kuanzishwa kwa Benki ya Taifa ya Ushirika kutawawezesha Wanaushirika na…
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. David Kafulila, amesema Serikali ya Awamu ya sita chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan, imetenga kiasi cha Shilingi Billion sita (6) kwa ajili ya kufufua…
Soma Zaidi