VYAMA VYA USHIRIKA VYA MAZAO VYATAKIWA KUTUMIA MIZANI ZA KIDIGITALI WAKATI WA MAUZO YA MAZAO YAO
Vyama vya Ushirika vya mazao vimetakiwa kuhakikisha vinatumia mizani ya kidigitali katika mauzo ya mazao ya Wakulima wakati wa msimu. Hayo yameelezwa na Kaimu Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Consolata…
Soma Zaidi