Habari na Matangazo

Waziri Mkuu Aagiza Ushirika wa Zabibu Kuimarishwa.

Waziri Mkuu Aagiza Ushirika wa Zabibu Kuimarishwa. Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amevitaka Vyama vya Ushirika vya Kilimo cha zabibu kuimaimarishwa ili kuongeza uzalishaji na tija itakayochochea maendeleo…

Soma Zaidi

Serikali Kuimarisha Kilimo cha Zabibu- Waziri Mkuu

Serikali Kuimarisha Kilimo cha Zabibu- Waziri Mkuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imedhamiria kuliongeza zao la zabibu kuwa miongoni mwa mazao ya kimkakati ili kungeza thamani zao hilo…

Soma Zaidi
MHE.WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA MAJALIWA AKITOA HOTUBA KATIKA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI (SUD) ILIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI TABORA.

Serikali Imedhamiria Kuimarisha Ushirika

Serikali Imedhamiria Kuimarisha Ushirika. Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amesema Serikali ina dhamira ya dhati kuhakikisha kuwa Vyama vya Ushirika vinaimarika na wakulima wanapata tija na…

Soma Zaidi

Jarida la Ushirika,Toleo la Tano(5) Januari - Machi, 2021

Jarida la Ushirika,Toleo la Tano(5) Januari - Machi, 2021

Soma Zaidi

CRDB na NHIF Zaingia Mkataba wa Makubaliano Kuboresha “Ushirika Afya”

CRDB na NHIF Zaingia Mkataba wa Makubaliano Kuboresha “Ushirika Afya” Dar Es Salaam, Benki ya CRDB imesaini mkataba wa makubaliano na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kurahisisha…

Soma Zaidi