WAZIRI MAVUNDE AVITAKA VYAMA VYA USHIRIKA KUWA NA USHIRIKA UNAOJIBU MAHITAJI YA WANANCHI
Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, amevitaka Vyama vya Ushirika nchini kuwa na Ushirika unaojibu mahitaji ya wananchi kiuchumi na kijamii. Hayo yamebainishwa wakati wa Kilele cha Jukwaa la Maendeleo…
Soma Zaidi