VYAMA VYA USHIRIKA RUKWA VYAPONGEZWA KWA KUCHANGIA UKUAJI WA SEKTA YA USHIRIKA

Mheshimiwa Peter  Lijualikali, Mkuu wa Wilaya ya Nkasi amevipongeza vyama vya ushirika Mkoani Rukwa kwa kuchangia ukuaji wa Sekta ya Ushirika, ambapo amefurahishwa na utekelezaji wa  kipaumbele cha…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA VYATAKIWA KUANZISHA VIWANDA KUCHAKATA MAZAO

Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Zuwena Omari  ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika Mkoani Lindi kuanzisha Viwanda vya kuchakata mazao ya wakulima ili kuongeza thamani pamoja na kuyatafutia masoko mazao…

Soma Zaidi

MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI (SUD) 2024 KUFANYIKA TABORA JUNI 29 - JULAI 06, 2024

Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) kwa mwaka 2024 yatafanyika kuanzia tarehe 29/06/2024 hadi tarehe 06/07/2024 kwenye viwanja vya Nanenane (Ipuli) Mkoani Tabora ambapo wananchi wote vikiwemo Vyama…

Soma Zaidi

USHIRIKA WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA KUONDOA UMASIKINI- DC, MBOZI

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mhe. Ester Mahawe amevitaka vyama vya wa Ushirika wa Mazao ya Mbogamboga na matunda kuongeza uzalishaji wa mazao hayo ili kuondokana na umasikini. Ametoa kauli hiyo leo Juni 5, 2024…

Soma Zaidi

VIONGOZI USHIRIKA WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA SONGWE WANOLEWA

Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Songwe, Benjamin Mangwala, amewataka viongozi wa Vyama vya Ushirika wa Mazao ya Mbogamboga na Matunda kuwa chachu ya kuvutia Wananchi wengi zaidi kujiunga na Vyama…

Soma Zaidi

VYAMA VYA USHIRIKA VYATAKIWA KUTUMIA MAPENDEKEZO YA TAFITI ZA USHIRIKA KUONGEZA MAARIFA

Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Zanzibar, Khamis Simba, ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika kutumia Tafiti za Ushirika kuongeza maarifa na kutumia mapendekezo ya Tafiti  kubuni mbinu za kuendesha…

Soma Zaidi

TAFITI ZIJIBU CHANGAMOTO ZA SEKTA YA USHIRIKA - KM KILIMO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli, amewataka Wataalamu  pamoja na Wanaushirika kutumia Tafiti za Ushirika   kutatua changamoto za Sekta ya Ushirika. Ametoa agizo hilo wakati…

Soma Zaidi