VYAMA VYA USHIRIKA VYA AKIBA NA MIKOPO VYATAKIWA KUFANYA UWEKEZAJI NA KUTUMIA TEHAMA
Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika - Udhibiti, Collins Nyakunga, amewataka Viongozi wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) kufanya Uwekezaji na matumizi bora ya TEHAMA, na kuzingatia matakwa ya…
Soma Zaidi