Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inawatangazia Watumishi wa Umma kuwepo kwa nafasi wazi 19 za kuhamia katika kada mbalimbali. Nafasi hizi zinategemewa kujazwa
katika Ofisi za Tume Makao Makuu - Dodoma na Mikoani.