Habari na Matangazo

WANAUSHIRIKA ZANZIBAR WAFANYA ZIARA KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA MKOANI DODOMA

Watumishi wa Idara ya Maendeleo ya Ushirika Zanzibar wamefanya ziara ya mafunzo katika Vyama vya Ushirika Mkoani Dodoma kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu kuhusu Maendeleo ya Ushirika Tanzania…

Soma Zaidi

MATUMIZI SAHIHI MFUMO WA KIDIGITALI KUONGEZA UFANISI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imekutana na Idara  Maendeleo ya Ushirika Zanzibar kuweka mikakati  ya mahusiano na mafunzo kuhusu matumizi sahihi ya mfumo wa kidigitali ili kuongeza…

Soma Zaidi

MALI ZA USHIRIKA ZIWEKEZWE KWA TIJA- DKT. NINDI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ushirika& Umwagiliaji- Dkt.Stephen Nindi amevitaka vyama vya Ushirika kuwekeza Mali za Ushirika kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Ushirika ili kuleta tija na…

Soma Zaidi

DKT. NINDI ATAKA UBUNIFU KWENYE USHIRIKA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo - Ushirika & Umwagiliaji, Dkt. Stephen Nindi amevitaka Vyama vya Ushirika kuongeza ubunifu wa uendeshaji wa shughuli za Ushirika ili kuinua tija na uzalishaji mali wenye…

Soma Zaidi

KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Kuelekea kilele cha siku ya Wanawake Duniani, Watumishi Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania wameshiriki Kongamano la Kanda ya Kati( Singida, Dodoma na Iringa) Kongamano hilo lililokuwa na Mada…

Soma Zaidi

DKT. NDIEGE AWATAKA MAAFISA USHIRIKA KUZIBA MIANYA YA RUSHWA

Mrajis na Mtendaji Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, ametoa rai kwa Maafisa Ushirika Nchini kuwa waadilifu na kuziba mianya ya rushwa katika Utendaji kazi wao. Amesema…

Soma Zaidi
Kaimu Naibu Mrajis Consolata Kiluma (wa kwanza kulia) na Maafisa Ushirika Kanda ya Kasakazini waunga Mkono Serikali kuutangaza Utalii, Tarangire Mkoani Manyara

TCDC YAUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKALI KATIKA KUTANGAZA UTALII NCHINI

Kaimu Naibu Mrajis - Uhamasishaji, Consolata Kiluma, amesema kuwa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inaunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita katika kutangaza utalii nchini kupitia…

Soma Zaidi

AFRIKA INAHITAJI KUREJESHA HADHI YAKE KWENYE TASNIA YA KAHAWA DUNIANI - RAIS DKT. SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Afrika inahitaji kurejesha hadhi yake kwenye tasnia ya Kahawa Duniani. Mhe. Rais Dkt. Samia amepongeza nchi za Afrika kuja…

Soma Zaidi