Habari na Matangazo

BENKI YA USHIRIKA TANZANIA KUENDESHWA KIBIASHARA- MHE. BASHE

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Benki ya Ushirika Tanzania itakuwa ni Benki ambayo itaongozwa na misingi ya Kibiashara ili kuleta tija na maendeleo kwa Wanaushirika na Taifa kawa…

Soma Zaidi

VIWANGO VYA KISHERIA   KURAHISISHA USIMAMIZI WA SACCOS KIMATAIFA

Viwango sawa vya utendaji na utoaji wa huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) vimetajwa kuwa chachu ya kuimarisha usimamizi na upimaji wa Vyama hivyo katika maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi

SAJILINI VYAMA VINGI VYA USHIRIKA - NAIBU WAZIRI KILIMO

Naibu Waziri wa Kilimo  wa Kilimo, Mhe. David Silinde, ameiagiza Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kuendendelea kusajili Vyama vingi vya Ushirika kwakuwa Ushirika ndio njia pekee ya kuwasaidia…

Soma Zaidi

TANECU YAANZA SAFARI YA KUWA NA USHIRIKA IMARA KWA KUJENGA KIWANDA

Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU Ltd. kimeanza safari ya kuwa na Ushirika imara kwa kujenga kiwanda cha kubangua korosho Newala, mkoani Mtwara kilichogharimu shilingi bilioni 3.4. Kiwanda hicho…

Soma Zaidi

RC HOMERA AWATAKA WANANCHI KUTUMIA HUDUMA RASMI ZA KIFEDHA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera, ametoa wito kwa Wananchi kutumia Huduma rasmi za Kifedha zilizosajiliwa na zenye kutambuliwa ili kuepuka usumbufu unaotokana na huduma za Mikopo yenye kuumiza Wananchi…

Soma Zaidi

RAIS DKT. SAMIA AUNGA MKONO MAGEUZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunga mkono mageuzi yanayofanyika katika Vyama vya Ushirika nchini ili kulinda maslahi ya Wanaushirika na kurudisha hadhi ya…

Soma Zaidi

TUJENGE VYAMA VYA USHIRIKA VILIVYO IMARA - RAIS DKT. SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameitaka Wizara ya Kilimo  kuiangalia kwa jicho la kipekee Sekta ya  Ushirika ili kujenga Vyama vya Ushirika vilivyo imara ili…

Soma Zaidi