Habari na Matangazo

Tafiti za Ushirika Kuleta Suluhu ya Changamoto za Ushirika

Tafiti za Ushirika Kuleta Suluhu  ya Changamoto za Ushirika. Tafiti za Ushirika zikitumika ipasavyo zimetajwa kuwa zinaenda kuongeza kasi na chachu ya maendeleo katika  utatuzi wa Changamoto…

Soma Zaidi

Mwongozo wa Biashara kwa Kutumia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala wa Mwaka 2021 Kwenye Mazao ya Choroko, Soya, Ufuta, Mbaazi na Dengu

TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI  MWONGOZO WA BIASHARA KWA KUTUMIA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA WA MWAKA 2021 KWENYE MAZAO YA CHOROKO, SOYA, UFUTA, MBAAZI NA DENGU   Ndugu Waandishi wa Habari,…

Soma Zaidi

Call For Abstracts

Call For Abstracts

Soma Zaidi

Taarifa Kwa Umma

VYAMA VYA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO (SACCOS) VYATAKIWA KUFUNGA HESABU KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA DESEMBA 31, 2020   Mwaka wa Fedha wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) unaanzia Mwezi…

Soma Zaidi

Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, amewataka Wanaushirika kurejesha hadhi na heshima ya Ushirika nchini.

SERIKALI YADHAMIRIA KUEREJESHA HESHIMA NA HADHI YA USHIRIKA NCHINI. Dodoma, 06/01/2021 Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, amewataka Wanaushirika kurejesha hadhi na heshima ya Ushirika nchini kwa kujenga…

Soma Zaidi
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Kusaya akimkabidhi Kompyuta Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Kusaya akimkabidhi Kompyuta Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege.

COOPERATIVE DEVELOPMENT COMMISSION HAS BEEN DELIVERED TO 50 KUMMUTA BY CRDB BANK   The Tanzania Cooperative Development Commission (TCDC) has been handed over 50 computers by CRDB Bank for accelerating…

Soma Zaidi

Mrajis Afuta Usajili wa Ushirika Tower Joint Enterprise

Mrajis Afuta Usajili wa Ushirika Tower Joint Enterprise Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege ametoa maagizo ya kufutwa kwa Usajili wa Chama cha…

Soma Zaidi