Habari na Matangazo

Dr.Benson O.Ndiege

Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania amefuta jumla ya Vyama 3,317.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania, Dr. Benson O. Ndiege amefuta jumla ya Vyama vya Ushirika 3,317 kwa kushindwa kutimiza masharti ya Usajili wa Vyama hivyo. Tangazo la kufuta…

Soma Zaidi

Serikali kuimarisha na kuendeleza Ushirika

Serikali ina mkakati wa kuendeleza na kuimarisha Ushirika kwa kuanzisha na kufufua viwanda ili kuongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa Wanaushirika, ambapo Serikali imedhamiria kuona kwamba Vyama vya…

Soma Zaidi

Makamu wa Rais ahimiza matumizi ya stakabadhi za ghala

Makamu wa Rais, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa wakulima wa mazao mbalimbali nchini kuongeza matumizi ya Mfumo wa Ushirika kwa kutumia Stakabadhi za Ghala ili kupata uhakika wa masoko na bei…

Soma Zaidi

Katibu Mkuu Kilimo aipongeza Tume ya Maendeleo ya Ushirika

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya, ameipongeza Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa kuendelea kuimarisha na kuendeleza Sekta ya Ushirika nchini katika Nyanja za Kilimo, ufugaji, uvuvi,…

Soma Zaidi

Tume ya Ushirika yafanya kikao cha pamoja na TAKUKURU

Tume ya Maendeleo Ushirika Tanzania (TCDC) imekutana katika Kikao cha Pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuimarisha usimamizi na maendeleo ya Vyama vya Ushirika…

Soma Zaidi

Ushirika kudhibiti mabadiliko ya tabia nchi

Wanaushirika wametakiwa kuchukua hatua dhidi ya uharibifu wa mazingira nchini ili kuhakikisha kuwa kunakuwa na uendelevu wa shughuli mbalimbali za kiuchumi katika Vyama vya Ushirika. Hayo yamesemwa na Katibu…

Soma Zaidi
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Dkt. Benson Ndiege akizindua Mfumo wa Kieletroniki wa kutoa leseni katika SACCOS

Tume ya Maendeleo ya Ushirika kusogeza karibu huduma kwa wananchi kieletroniki

Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) imeongeza udhibiti na usimamizi wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) kwa kuhakikisha Vyama vyote vinajisajiliwa kwa kutumia mifumo ya TEHAMA inayopatikana…

Soma Zaidi
Tumeanzisha mfumo wa stakabadhi gharani ili kumkomboa mkulima – RC Homera

Tumeanzisha mfumo wa stakabadhi gharani ili kumkomboa mkulima – RC Homera

TUMEANZISHA MFUMO WA STAKABADHI GHARANI ILI KUMKOMBOA MKULIMA – RC HOMERA Mpanda, Katavi Katika kumkokomboa mkulima, mkoa wa Katavi umeanzisha na kusimamia ipasavyo Mfumo wa Stakabadhi za Ghala ili…

Soma Zaidi