Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Tangazo la nafasi za mafunzo kwa vitendo mahali pa kazi (internship) kwa mwaka 2020/2021 katika sekta ya ushirika

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu (OWM-KVAU) inatekeleza Programu ya Work Readiness Employability Skills…

Soma Zaidi

Salamu za Pongezi

Tume ya Maendelo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inapenda kumpongeza Rais, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais. Mhe.Samia Suluhu Hassan.

Soma Zaidi

Wanawake wahamasishwa nafasi za uongozi wa Ushirika

Wanawake wahamasishwa nafasi za uongozi wa Ushirika Wanawake wamepewa wito wa kushiriki katika nafasi za uongozi katika Vyama vya Ushirika hususani Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) nchini pindi nafasi…

Soma Zaidi

Mkuu wa Wilaya ya Newala, Mh.Aziza Mangosongo ametoa wito kwa Viongozi na Watendaji wa Ushirika

DC ASHAURI MIKAKATI YA KUIMARISHA NA KUENDELEZA USHIRIKA Mkuu wa Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara Mhe. Aziza Mangosongo ametoa wito kwa Viongozi na Watendaji wa Ushirika kushirikiana katika kuhakikisha kuwa…

Soma Zaidi