Mrajis wa Vyama vya Ushirika Dkt. Benson Ndiege akizindua Mfumo wa Kieletroniki wa kutoa leseni katika SACCOS

Tume ya Maendeleo ya Ushirika kusogeza karibu huduma kwa wananchi kieletroniki

Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) imeongeza udhibiti na usimamizi wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) kwa kuhakikisha Vyama vyote vinajisajiliwa kwa kutumia mifumo ya TEHAMA inayopatikana…

Soma Zaidi
Tumeanzisha mfumo wa stakabadhi gharani ili kumkomboa mkulima – RC Homera

Tumeanzisha mfumo wa stakabadhi gharani ili kumkomboa mkulima – RC Homera

TUMEANZISHA MFUMO WA STAKABADHI GHARANI ILI KUMKOMBOA MKULIMA – RC HOMERA Mpanda, Katavi Katika kumkokomboa mkulima, mkoa wa Katavi umeanzisha na kusimamia ipasavyo Mfumo wa Stakabadhi za Ghala ili…

Soma Zaidi

Tutumie Ushirika Kupata Masoko na Bei za Uhakika – Naibu Waziri Bashe

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe ametoa wito kwa Wakulima nchini kutumia Ushirika hususan Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwa lengo la kupata masoko na bei za uhakika. Wito huo umetolewa wakati wa…

Soma Zaidi

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Kuja na Mikakati ya Kukabiliana na Upungufu wa Sukari Nchini

Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini imeweka wazi azma yake ya kusimamia mikakati kazi ya uvunaji wa miwa kwa msimu huu mpya wa mwaka 2020. Hii ikiwa ni hatua ya kukabiliana na upungufu wa bidhaa ya sukari…

Soma Zaidi

Stakabadhi Ya Ghala Nyenzo Ya Kumkomboa Mkulima

Mfumo wa Stakabadhi ya Ghala umetajwa kuwa ni moja ya nyenzo ya kumsaidia mkulima kupata mauzo mazuri ya Wakulima. Hivyo kumuwezesha Mkulima kufaidika na Kilimo kupitia mfumo wa Ushirika.  Hayo yamesemwa…

Soma Zaidi

TEHAMA Kuongeza Ufanisi Katika Sekta Ya Ushirika

Ukusanyaji wa mapato kutoka kwenye Vyama vya Ushirika unaendelea kuimarika kwa kiasi kubwa kupitia matumizi ya Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) hususan usahihi wa makusanyo, uwekaji wa…

Soma Zaidi

Ushirika Ujikite Katika Uchumi Wa Viwanda - Katibu Mkuu Kilimo

Vyama vya Ushirika wa mazao vimetakiwa kuchakata mazao yanayozalishwa na wakulima kwa kuongeza mnyororo wa thamani kupitia viwanda vya Ushirika ili kumnufaisha mkulima kwa kumwezesha kupata bei nzuri ya mazao…

Soma Zaidi

Naibu Waziri Bashe Ataka Ushirika Kujiendesha Kibiashara

Tume ya Maendeleo ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imeagizwa kuhakisha kuwa Vyama vya Ushirika vinajiendesha kibiashara kwa kutumia misingi thabiti ya Ushirika pamoja na matumizi mazuri ya rasilimali…

Soma Zaidi