JARIDA LAUSHIRIKA JULAI-SEPTEMBA , 2023 TOLEO NA: 014
Soma Zaidi
Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson, amewataka Viongozi wa Vyama vya Ushirika Nchini kutekeleza maeneo 7 muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa Vyama ili…
Soma ZaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imeamua kumuunganisha mkulima na mnunuzi pamoja kwenye Vyama vya Ushirika vya wakulima kwa lengo la kuwawezesha…
Soma ZaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhi zawadi ya Trekta kwa Chama cha Msingi cha Ushirika cha ISOWELU AMCOS kilichopo mkoani Njombe ikiwa ni kutambua juhudi za…
Soma ZaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 08 Agosti, 2023 ametembelea Kijiji cha Ushirika na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Tume ya Maendeleo ya…
Soma ZaidiWaziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amesema Serikali itaendelea kuimarisha Ushirika kwa kuongeza tija katika Kilimo kitakachochangia katika kuinua uzalishaji wa mazao na kuongeza nguvu ya Ushirika …
Soma ZaidiMkurugenzi wa Sekta ya Fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania, Saadat Musa ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika kutoa elimu ya Fedha kwa Wanachama na Umma kwa ujumla kwa lengo la kuimarisha na kuendeleza Sekta ya…
Soma ZaidiNaibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe, ametoa wito kwa kila Mdau anayehusika katika matumizi na usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kutimiza wajibu wake katika nafasi yake ili…
Soma Zaidi