Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) tunapenda kuungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, na Watanzania wote katika kusherehekea maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Tanzania.