Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Hundi ya Malipo ya fidia kwa Wanaushirika wenye BIMA ya Mazao iliyotolewa na Benki ya NBC. Mrajis na Mtendaji Mkuu wa TCDC, Dkt. Benson Ndiege, alipokea Hundi hiyo kwaniaba ya Wanaushirika wa Tumbaku walioathirika na Hali ya hewa katika mikoa ya Tabora, Katavi, Geita, Kigoma, Shinyanga na Mbeya.