Habari na Matukio

WATUMISHI WA TCDC WANG’ARA KWENYE TUZO ZA WAFANYAKAZI BORA MEI MOSI

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini ametoa tuzo kwa wafanyakazi Bora wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) katika Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani ambayo kwa Mkoa wa…

Soma Zaidi
Mkuu wa Mkoa wa SIMIYU, Mhe.Dkt.Yahya Nawanda akikabidhi cheti kwa Kiongozi wa Chama cha Ushirika kilichofanya vizuri kwa Mwaka 2023.

MKOA WA SIMIYU WADHAMIRIA KUANZISHA VIWANDA NA KUIMARISHA VYAMA VYA USHIRIKA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Dkt. Yahya Nawanda, amesema Mkoa wa Simiyu umedhamiria kuanzisha viwanda kwa ajili ya kuongeza ajira na kukuza uchumi wa  mkoa na nchi kwa ujumla.Dkt. ameyasema hayo alipokuwa…

Soma Zaidi

SIMCU FUFUENI VIWANDA VYENU - RC SIMIYU

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa Dkt Yahaya Nawanda , ametoa Rai kwa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Simiyu (SIMCU - 2018) Ltd kufufua Viwanda vyao na kuanza kufanya kazi ili kuimarisha Mnyororo wa thamani…

Soma Zaidi

TCDC IMEDHAMIRIA KUBORESHA MFUMO WA USHIRIKA - NSEKELA

Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania( TCDC), Abdumajid Nsekela, amesema TCDC imedhamiria kuboresha mfumo wa Ushirika na kuwa wa kibiashara na kisasa zaidi.Amesema lengo ni kuongeza ushiriki wa…

Soma Zaidi

MFUMO WA KUSAJILI WAKULIMA WA PAMBA KIDIGITALI WAANZISHWA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa kushirikisha na Bodi ya Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bodi ya Pamba Tanzania (TCB), na Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) wameanzisha Mfumo wa kusajili wakulima…

Soma Zaidi

KAMPUNI ZA UNUNUZI WA MAZAO ZATAKIWA KUTEKELEZA AHADI ZAO KWA JAMII

Ahadi ziwe kisheria na maandishi, kurahisisha ufuatiliaji Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amewataka viongozi wa Vyama Vikuu…

Soma Zaidi

WAKULIMA WA TUMBAKU WALIME NA MAZAO MENGINE - WAZIRI BASHE

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amewataka wadau wa zao la Tumbaku nchini kuwahamasisha wakulima wa zao hilo kulima mazao mengine kwenye maeneo yao badala ya kutegemea Tumbaku peke yake. Waziri Bashe…

Soma Zaidi