Habari na Matangazo

SACCOS LAZIMA KUJISAJILI ILI KUPATA LESENI - GAVANA

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Tutuba amevitaka Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) kupata leseni kabla ya tarehe 30 Aprili, 2024 ili SACCOS hizo kuleta tija kwa wanaushirika na taifa kwa…

Soma Zaidi

VIONGOZI WA VYAMA WATAKIWA KUTEKELEZA VIPAUMBELE VYA USHIRIKA

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson, amewataka Viongozi wa Vyama vya Ushirika Nchini kutekeleza maeneo 7 muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa Vyama ili…

Soma Zaidi

TUNAMUUNGANISHA MKULIMA NA MNUNUZI KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA ILI KUMPATIA BEI NZURI - RAIS DKT. SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imeamua kumuunganisha mkulima na mnunuzi pamoja  kwenye Vyama vya Ushirika vya wakulima kwa lengo la kuwawezesha…

Soma Zaidi

USHIRIKA KUENDESHWA KIDIGITALI – MRAJIS 

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amesema Tume itaendelea kusimamia Vyama vya Ushirika kwa kutumia njia za kisasa za Kidigitali ambazo zinaongeza…

Soma Zaidi

RAIS SAMIA AKABIDHI TREKTA KWA ISOWELU AMCOS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhi zawadi ya Trekta kwa Chama cha Msingi cha Ushirika cha ISOWELU AMCOS kilichopo mkoani Njombe ikiwa ni kutambua juhudi za…

Soma Zaidi

MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA ‘KIJIJI CHA USHIRIKA’ NDANI YA NANENANE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 08 Agosti, 2023 ametembelea Kijiji cha Ushirika na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Tume ya Maendeleo ya…

Soma Zaidi

WAKULIMA JIUNGENI KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA - MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa Wakulima kujiunga na Vyama vya Ushirika ili kupata nguvu ya pamoja ya soko la mazao yao na kuwa na chanzo cha Mikopo na…

Soma Zaidi